[00:00.000] 作词 : Nasibu Abdul Juma Issaack[00:00.126] 作曲 : Diamond Platnumz[00:00.252]Sikomi -Diamond Platnumz[00:01.37]Written by:Nasibu Abdul Juma Issaack[00:20.282]Wanasemaga mapenzi safari[00:22.127]Unavyopita ndo jinsi unajongea[00:25.483]Ila niendako ni mbali sijui ka ntafika sababu natembea[00:30.571]Niliposikiaga habari[00:32.356]Yakisifika nikakesha nangojea[00:35.329]Akabariki jalali na nikawika muziki nikauotea[00:40.542]Ile pruuu mpaka macca[00:42.388]Nikadandiaga bongo movie[00:44.937]Kumbe mapenzi hayataki haraka[00:47.207]Ni kama tango natia tu chumyi[00:50.134]Mwenzenu nikaoza haswa[00:52.464]Na kujitia kitandani mjuzi[00:54.786]Eti nataka fukuza paka[00:57.217]Badala ya mbwa nikafuga mbuzi[00:59.890]Hhhmmm[01:00.837]Wivu ukanifanya nikagombana na marafiki[01:05.627]Ugomvi na mamangu akiniambia siambiliki[01:10.467]Moyo ukanambia nasibu sasa mapenzi basi[01:15.161]Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi[01:20.460]Esma ananiambia mdogo wangu mapenzi basi[01:25.505]Ila nang'ang'ania[01:26.900]Nikiumizwa na huyu kesho nna mwingine[01:29.986]Ooh mbona sikomi[01:32.855]Sikomiii[01:35.320]Sikomi[01:36.903]Licha ya mateso haya[01:39.381]Najiuliza oh sikomiii[01:41.718]Oh sikomi mbona sikomiii[01:44.336]Mbona jamani[01:45.479]Sikomi[01:46.759]Licha ya mateso haya[01:50.798]Hhhhmmm[01:51.89]Aliyonifanyia wa central[01:52.414]Haki ya mungu siyawezi sema[01:55.420]Ila nimejifunza kesho nisiwaamini wacheza sinema[02:00.428]Moyo walinipatia mateso[02:02.554]Siwezi kumeza siwezi tema[02:05.352]Ndio maana sikushanga ile ghafla[02:07.470]Toka ccm kwenda chadema[02:10.777]Wanasema kitanda ukitandika sharti ukilalie[02:15.592]Nikajitia ukamanda yatakwisha[02:17.984]Wacha nivumilie[02:20.565]Kila kiza kikitanda[02:22.297]Ndo visa machozi me nilie[02:25.359]Penzi yakatia parapanda[02:27.629]Kuwaita waje washambulie[02:29.890]Aah[02:30.205]Acha na penny we darling[02:33.43]Nilio muhongaga gari aliponambia ana mimba[02:37.502]Mwisho wa siku akaichomoa chaliiiii[02:40.366]Mola akanitunuku zari[02:42.863]Akanzalia dume na mwali[02:45.447]Niliyvo mjinga nikacheat aibu mpaka[02:48.497]Kwa vyombo vya habari[02:50.626]Moyo unanambia nasibu sasa mapenzi basi[02:55.360]Ila nang'ang'ania najaribu kuipinga nafsi[03:00.433]Lizer ananiambia simba mapenzi basi[03:05.409]Ila nang'ang'ania[03:07.56]Nikiumizwa na huyu kesho nna mwingine[03:10.106]Ooh mbona sikomi mboooona[03:12.842]Sikomiii mbona jamani[03:15.483]Sikomi[03:17.160]Licha ya mateso haya[03:19.337]Eh nishafumania oh sikomiii[03:21.906]Nikafumaniwa mimi sikomi[03:23.966]Nishagombana na watu sikomiii[03:27.153]Licha ya mateso haya[03:28.778]Licha ya mateso haya